Kama Black is Beauty....... Mkorogo wa nini tena

Kama Black is Beauty....... Mkorogo wa nini tena

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,230
Yaani siku hizi wanawake wenye midevu iliyosababishwa na mikorogo si wa kutafutiza tena, maana wamejaa kibao. lakini kuna msemo wa long taimu unaosema "Black is Beauty" sasa kama kweli black is beauty kwa nini dada zetu wanahangaika na Mikorogo hadi ya JIK?
 
Kwaio hutaki wajirembe ..! huo msemo usha kuwa used hautumiki tena. waache dada zetu wapendeze.
 
Kwaio hutaki wajirembe ..! huo msemo usha kuwa used hautumiki tena. waache dada zetu wapendeze.
Kujiremba na kujichubua ngozi ni mambo mawili tofuati. Kujiremba ni kupaka rangi kucha, kusuka, kutia Hina, mambo ya Lipsitck, nguo maridadi, kujifukiza ubani na kujitia uturi, pafyumu, kutinda nyusi. mambo haya hayana madhara lakini kujichubua ngozi hata watu wa Dermatology wanakataa.
 
Kila mtu na hitaji lake jamani, maana ka kusemwa walishasemwa sana na walishasikia!
 
kama nyie wanaume msingekuwa mnawaona wanawake weupe ni wazuri zaidi naamini kabisa rate ya wanaojichubua ingepungua.
 
Kama wanadhani kujichubua ni kupendeza wamepotea njia coz wanatisha na kuwa wekundu na kua na ndevu. Dada zetu yafaa mfikirie kabla yakufanya jambo
 
I don't care if the girl is dark skinned or light skinned..... It's the booty that matters o me. The more the better!!
 
Back
Top Bottom