Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Matokeo ya uchaguzi uliokwisha nchini Senegal unaonyesha chama tawala kililchopigwa chini kwenye uchaguzi wa urais uliopita, kwa mara nyingine kimebwagwa vibaya baada ya chama cha Oussumane Sonko cha PASTEF viti 131 wakati chama cha rais wa zamani cha Takku Wallu Sénégal kikiambulia viti 13 tu kkkk😛😛😛 Kama Botswana, moto wa mageuzi unazidi kuichoma Afrika.
Senegal inajiunga kwenye orodha ya mataifa ambayo vyama vyake vya muda mrefu au tawala vilizikwa. Inajiunga na Botswana, Kenya, Malawi, na Zambia.
Tunangoja kuona watanzania watajifunza nini kutoka Senegal. Uzuri wa nchi zilizoangamiza na kuzika vyama angamizi na mfu tawala hazina chawa wala kunguni.
Wananchi wake wamejitambua kiasi cha kuamua kujikomboa. Wangekuwa bongo chawa wangechomwa. Moto hata wanaowafunga, kuwatumia na kuwashabikia wakati ni chafu mtupi iwe kimaadili hata kimazingira.
Nawasilisha. Kwa HABARI ZAIDI, BONYEZA HAPA.