cha msingi ni kuwanyima ubunge wanafiki wote , nadhani wananchi wameshatambua ni heri kuwakabidhi nchi mafisadi kuliko wanafiki, unajua ni heri fisadi anyejituma kuliko mnafiki wa kupiga majungu tuu, kwa kweli kama watanzania wakija kutambua viongozi jinsi wanavyowachezea kama wanavyochezewa walimu, nchi haitakalikasita mbona alishashindwa siku nyingi ndugu yangu?................ sita ni mwoga halafu he is in love with CCM........ hapo anazimia kabisa............ ukitaka apate mafua mwambie asiamamie kura ya kutokuwa na imani na serkali ya ccm............... hahahah......... viwango na spidi za konokono...............
sasa tunalazimika kukubali kuwa ujasiri alionyesha wkati wa kujiuzulu lowasa ulitokana na chuki binafsi na si viwango na spidi.................