Unaijua USA wewe?bush na familia yake kule Texas wanamiliki eneo sawa na wilaya ya Kongwa yote sasa ya nini kuhangaika na uchafu wa kigamboni,ungeniambia serikali ya Marekani sawa maana wao wanaweza kuhitaji eneo dogo kwa ajili ya maslahi yao ya kiulinzi,Bush hana serikali wala dola,