Kama Buzi linakuzimia basi likuhonge haka kakitu kadogo tu, kama limeshindwa gari hata haka??????!!

Kama Buzi linakuzimia basi likuhonge haka kakitu kadogo tu, kama limeshindwa gari hata haka??????!!

Marketer

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
261
Reaction score
55
Features:
 Apple iPad 2, (64GB), Wifi + 3G

TZS: 1,600,000/-
 Apple iPad 2, (32GB), Wifi + 3G

TZS: 1,500,000/-
 1 Year International Warranty
 Free activation and Setup
 Regional Support

natafta mganga officially nipate kimojawapo maana bila ndumba wanaume wa bongo hupati kitu.
 
Kuhongwa simu? At this era? Kirwaaaa!

Na Dodge je?
 
Warsha,semina,posho hakuna max tsh 50000 nahonga tena uwe kama lulu
 
karne hii bado kuna watu wana mawazo ya kuhongwa.
 
hhahah umenichekesha eti wanaume wa kibongo bila ndumba huongwi kitu hahhahaha na kweli mwaya wana hiyari waweke heshima baaa ila wanawake wao wasipendeze.....wanshangaza(source faiza foxy)
 
dah! sie tusiokuwa na semina, hatuna ajira kweli tutaweza kupata hivyo vyuma? TUTAHONGA NN au ndo tutabakia na vyuma chakavu
 
tatizo mademu wa kibongo wamekaa kinjaa njaa sana, yani mentally as if wakipata mwanaume ndio wanajua hapo pa kutokea. Jamani reward inakuja polepole, acheni njaa zenu kidogo mjitunzie heshima. Walipofikia inatisha, midemu inahaha kama mapaka ya baa bwn!!
 
Kuhongwa yanatokea puani make ukipewa iyo ipad na ngoma juu, make upewe iyo ipad jamaa atataka kavu na engine ya vokswagen lol.......... Kueni makini
 
tatizo mademu wa kibongo wamekaa kinjaa njaa sana, yani mentally as if wakipata mwanaume ndio wanajua hapo pa kutokea. Jamani reward inakuja polepole, acheni njaa zenu kidogo mjitunzie heshima. Walipofikia inatisha, midemu inahaha kama mapaka ya baa bwn!!
Aisee best umeua kabisa. Mimi sitaki ushahidi wakiandamana. Lakin kuna ka ukweli flani......
 
Nimeisoma thread kwa sababu nimekuona humu,habari ya siku?

Habari za siku nzuri, umeniona kwa miwani au darubini gani na mie niitafute mkuu nikuone, maana si haki wewe unaniona mie tu mi sikuoni.
 
Back
Top Bottom