tulihongwa sisienzi zetu.
Halafu kesho hawahawa watadai usawa?
Amaaaaah!!.....ulimuonaje huyu Kiranga humu mkuu bila kufunguwa hii thread na kusoma na scroll down?Nimeisoma thread kwa sababu nimekuona humu,habari ya siku?
Aisee best umeua kabisa. Mimi sitaki ushahidi wakiandamana. Lakin kuna ka ukweli flani......tatizo mademu wa kibongo wamekaa kinjaa njaa sana, yani mentally as if wakipata mwanaume ndio wanajua hapo pa kutokea. Jamani reward inakuja polepole, acheni njaa zenu kidogo mjitunzie heshima. Walipofikia inatisha, midemu inahaha kama mapaka ya baa bwn!!
Nimeisoma thread kwa sababu nimekuona humu,habari ya siku?