Kuhongwa yanatokea puani make ukipewa iyo ipad na ngoma juu, make upewe iyo ipad jamaa atataka kavu na engine ya vokswagen lol.......... Kueni makini
Features:
 Apple iPad 2, (64GB), Wifi + 3G
TZS: 1,600,000/-
 Apple iPad 2, (32GB), Wifi + 3G
TZS: 1,500,000/-
 1 Year International Warranty
 Free activation and Setup
 Regional Support
natafta mganga officially nipate kimojawapo maana bila ndumba wanaume wa bongo hupati kitu.
Ukiona jitu linapenda kuhungwa basi lipo tayari kutoa vyote. Kavu kotekote
Habari za siku nzuri, umeniona kwa miwani au darubini gani na mie niitafute mkuu nikuone, maana si haki wewe unaniona mie tu mi sikuoni.
karne hii bado kuna watu wana mawazo ya kuhongwa.
Chauro !
Mzaha tupa kulee! Nadhani hujakutana na mitoto Mang'anyu! Mitoto Hin'haa
mitoto inayojua kutumia sanaa ya viungo vya mwili kupagawisha !
Ni mziki munene!
Mie hati ya nyumba niliihonga nikiwa sijitambui ! Hivi tuongeavyo card ya gari iko mguu mmoja nje , mguu mmoja ndani.
Usinicheke nimetepeshwaje ?
Warsha,semina,posho hakuna max tsh 50000 nahonga tena uwe kama lulu