Kama CCM ilipata 84% ya kura za Urais na ikapata 99% ya Wabunge wa kuchaguliwa kuna haja gani tena ya Maridhiano?

Kama CCM ilipata 84% ya kura za Urais na ikapata 99% ya Wabunge wa kuchaguliwa kuna haja gani tena ya Maridhiano?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Takwimu huwa hazidanganyi.

CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020

Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini

CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara Vijijini

ACT wazalendo ilipata wabunge 3 wa kuchaguliwa Zanzibar.

Katika mazingira kama haya patahitajika maridhiano ya nini?

Sabato njema.
 
Yaa wewe unafikiri vizuri na sahihi. Hapa kuna uchaguzi. Umeshindwa vibaya halafu unataka maridhiano eti ya kitaifa😂. Maana ya demokrasia ni nini? Maridhiano ya nini? Ina maana nikubaliane na sera zako na kuwaingiza serikali wakati umeshindwa kura vibaya? Au maridhiano ya kuwaachia wafungwa au fisadi au nini. Yaani chadema ni chama cha ajabu.😂😂
 
Hapa inafaa maridhiano na wachafuzi wa chaguzi na sii vinginevyo, naaridhiano yanapatikana ndani ya katiba mpya🏋️.
 
Hakuna mwaka nilichukia kama 2020, mtu mmoja mstaafu kaja saa sita usiku na akabadilisha matokeo theni akarudi zake dar ,ukweli niliumia Sana na niliwaza mengi sana.mbunge mwenyew nahisi alipata Kula 5 tu.
 
Yaa wewe unafikiri vizuri na sahihi. Hapa kuna uchaguzi. Umeshindwa vibaya halafu unataka maridhiano eti ya kitaifa😂. Maana ya demokrasia ni nini? Maridhiano ya nini? Ina maana nikubaliane na sera zako na kuwaingiza serikali wakati umeshindwa kura vibaya? Au maridhiano ya kuwaachia wafungwa au fisadi au nini. Yaani chadema ni chama cha ajabu.😂😂
Kama kabwebwe na kijani mlivyokuwa waajabu, vichekesho🏃
.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani umeambiwa Maridhiano yanatokana na idadi ya Kura?

Hakukuwa na Uchaguzi bali UCHAFUZI
 
Takwimu huwa hazidanganyi.

CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020

Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini

CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara Vijijini

ACT wazalendo ilipata wabunge 3 wa kuchaguliwa Zanzibar.

Katika mazingira kama haya patahitajika maridhiano ya nini?

Sabato njema.
Wanajua kuwa hayo matokeo ilikuwa ni kazi ya Mahela na team yake kutekeleza maagizo toka juu.
 
Lakini ccm bado ipo!
Uwepo wake unawapa wasiwasi wenye nayo wako waliomo kama hawamo na yamo mapandikizi yenye maslahi binafsi.

CCM ilishapoteza mvuto, dira na mwelekeo inapumulia nguvu za wasiojulikana na watunga kesi
 
Back
Top Bottom