johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kama kabwebwe na kijani mlivyokuwa waajabu, vichekesho🏃Yaa wewe unafikiri vizuri na sahihi. Hapa kuna uchaguzi. Umeshindwa vibaya halafu unataka maridhiano eti ya kitaifa😂. Maana ya demokrasia ni nini? Maridhiano ya nini? Ina maana nikubaliane na sera zako na kuwaingiza serikali wakati umeshindwa kura vibaya? Au maridhiano ya kuwaachia wafungwa au fisadi au nini. Yaani chadema ni chama cha ajabu.😂😂
Malipo Ni hapahapa dunianiNdiyo maana aliyefanya huu uchafuzi sasa hivi yuko motoni,Mungu hadhihakiwi kamwe
Kuna aliyewabariki funza waliomaliza kazi kule kaburini.Aliyejisifu kuwalipa wakurugenzi ili wafanye uchafuzi ameoza ameliwa na funza muda huu kabaki skeleton dadex mungu fundi.
Kwakuwa alilipwa posho ya kiwezesha uchafuzi unafikiri atasema Nini🏋️.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani umeambiwa Maridhiano yanatokana na idadi ya Kura?
Hakukuwa na Uchaguzi bali UCHAFUZI
Tatizo una fuvu lisiloweza kufikiri ndiyo shida inayokutesa. Mama kazungumzia maridhiano mleta mada ameuliza swali na kufikili Kama ushindi Ni kwa asilimia zaidu ya 90 maridhiano ya nini?. Fuvu lako linawaza ufipa tu.Ngoja wale Wana Sacco's wa mtaa wa ufipa waje kutoa mapovu
Wanajua kuwa hayo matokeo ilikuwa ni kazi ya Mahela na team yake kutekeleza maagizo toka juu.Takwimu huwa hazidanganyi.
CCM ilipata 84% ya kura za uRais kwenye uchaguzi mkuu wa 2020
Chadema ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Nkasi kaskazini
CUF ilipata mbunge 1 wa kuchaguliwa Mtwara Vijijini
ACT wazalendo ilipata wabunge 3 wa kuchaguliwa Zanzibar.
Katika mazingira kama haya patahitajika maridhiano ya nini?
Sabato njema.
Wanafiki ndio wanaosifia maridhiano baada ya kujenga chuki na utengano baina ya raia nafsi zinawasutaNgoja wale Wana Sacco's wa mtaa wa ufipa waje kutoa mapovu
Uwepo wake unawapa wasiwasi wenye nayo wako waliomo kama hawamo na yamo mapandikizi yenye maslahi binafsi.Lakini ccm bado ipo!
Salumu Mwalimu wa Chadema kasisitiza maridhiano kule Unguja!Leo mwezi gani Bwabibi? Maana naona kama mwezi umepanda