Kama CCM ilipata 84% ya kura za Urais na ikapata 99% ya Wabunge wa kuchaguliwa kuna haja gani tena ya Maridhiano?

Maridhiano ni TABIA YA WAUNGWANA NA WASTAARABU!
 
CCM hawakupata hizo kura,waliiba kwa kuandika tu figures wanazotaka.

Ata wanafunzi wa primary wanajua hili,wewe uko nchi gani?

Isingekuwa wizi CCM isingefika ata asilimia 30.
 
Maridhiano kwa ajili ya kuridhiana ili wapate Muafaka wa Kitaifa kwa Ajili ya Mama Tanzania (Mbatia).
 
Mbele ya polisi nanrisasi za Moto. Sandarusi za maiti Coco Beach, Ben saanane, Azory, MKIRU, umesahau? Wote wameuawa na Jiwe. Kisasi kitaanzia hapo.
Mbona 2015 Kilombero Chadema iliiba kura kwa mujibu wa mbunge aliyeshinda Lijualikali?
 
Mbona 2015 Kilombero Chadema iliiba kura kwa mujibu wa mbunge aliyeshinda Lijualikali?
Lijuakali kwa sasa ni mwanachama wa CCM ivyo ataongea lolote kujipendekeza,ukizingatia kuwa kuingia CCM sharti ubongo uache mlangoni.
 

Kumbe pamoja na maridhiano kutofanyika tayari wewe ukijua ajenda?? Au ni tabia yako ya umbea na mashosti zako saloon ndio chanzo cha taarifa hizi??

Hapa tuna siasa za winner takes all! Sidhani Chadema walitaka hilo. CCM ilipeleka wabunge 19 Bungeni bila taratibu sahihi. Mikutano ya siasa ilazuiliwa na presidential decree. Watu wakaadhibiwa na kufunguliwa kesi za kisiasa. Uonevu wa wasimamizi wa uchaguzi, Tume huru ya uchaguzi nk. Haikuwa wakitaka kuwa sehemu ya serikali!

Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa lakini kuna maslahi ya taifa yaliyo muhimu kwangu. Hata Zanzibar walikuwa na maridhiano, CCM si ilishinda??!!! Kwanini??
 
Iliiba haikupata kura hizo,ndio chizi alibaki dodoma kuiba kura na kujitangaza,maendeleo hayana chama
 
Maridhiano na hao magaidi ni kupoteza muda tu. Saccos yenyewe imekongoroka, imebaki dhofulhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…