Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Katika uhalisia kupitishwa kwa mgombea uraisi wa chama cha CCM haukuwa wa utaratibu na ulikiuka katiba ya CCM ambapo mgombea alipitishwa tu kwasababu ni raisi hii inapeleka taifa kwenye siasa mbaya sana.
Nilisema CCM isipitishe mtu kwasababu ni raisi au ni nani tukifanya hivi tutaharibu siasa ya nchi endapo atatokea kiongozi mbaya anaweza kutaka kutawala milele hata kwenye chaguzi zijazo atataka kupitishwa kienyeji enyeji na sio kwa kufuata utaratibu wa kikatiba.
kwasababu mgombea huyu kama haeshimu katiba ya chama hawezi kuheshimu katiba ya nchi ni wazi kwamba kuelekea kwenye uchaguzi mkuu mtu anaweza kupitishwa kwasababu ni raisi wa wakati huo na sio kwasababu ameshinda nafasi hiyo hii ni siasa mbaya sana.
Nashauri sisi kama taifa kurudi nyuma kujitafakari tumefikaje kwenye siasa za hivi na wapi tunapolipeka taifa mtu hata akivunja katiba hadharani bado mnaona ni sawa heti kwasababu ni flani hata katiba zetu hazisemi hivyo tuamkeni kutoka usingizini.