Kama CCM ni marafiki wa ANC, kwa nini wanakili katiba ya Kenya?

Haya madai yanakili katiba ya Kenya hayana ukweli yalianzishwa na Mbatia kwa lengo la kuifanya jamii iachane kuzungumza maudhui ya muswada husika ipoteze mda kwa mambo yasiyo na maslahi yeyote. Nini wasi wasi hata muandishi wa thread hii uenda ametumwa kufanya hivyo. kama hivyo ndivyo , ni vema ikaeleweka kwamba safari hii watanzania hawatadanganyika.
 
soma vizuri thread wewe. nimesema 'kama'. you should understand the meaning of the word 'kama'
 
Watanzania bwn,eleweni madai. Hata mimi ningeulizwa kama katiba imetolewa kenya ningebisha. Mi najua tangu miaka ya70 tuna katiba ile ile sasa ya kenya imekopiwaje? Labda ulete hoja ya kukopi Muswada wa kuandaa sheria ya kuunda katiba mpya ,lakini si kukopi katiba. Ikumbukwe kuwa mpaka leo haijatungwa katiba mpya hata page1,je katiba iliyokopiwa ni ipi?
 
mijitu mingine kwa kuleta utumbo humu JF yamezidi. hiyo katiba tuliyokopy ni ipi?
kinyesi, simply.
 
mijitu mingine kwa kuleta utumbo humu jf yamezidi. Hiyo katiba tuliyokopy ni ipi?
Kinyesi, simply.

ndugu yangu usipende kuhukumu pendelea zaidi kuelimisha, mawazo yako yataheshimiwa sana kuliko matusi yako.
 
Watanzania bwn,eleweni madai. Hata mimi ningeulizwa kama katiba imetolewa kenya ningebisha. Mi najua tangu miaka ya70 tuna katiba ile ile sasa ya kenya imekopiwaje? Labda ulete hoja ya kukopi Muswada wa kuandaa sheria ya kuunda katiba mpya ,lakini si kukopi katiba. Ikumbukwe kuwa mpaka leo haijatungwa katiba mpya hata page1,je katiba iliyokopiwa ni ipi?

Yessir...
 
Back
Top Bottom