The Prophet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 682
- 94
Haya madai yanakili katiba ya Kenya hayana ukweli yalianzishwa na Mbatia kwa lengo la kuifanya jamii iachane kuzungumza maudhui ya muswada husika ipoteze mda kwa mambo yasiyo na maslahi yeyote. Nini wasi wasi hata muandishi wa thread hii uenda ametumwa kufanya hivyo. kama hivyo ndivyo , ni vema ikaeleweka kwamba safari hii watanzania hawatadanganyika.
huwa nasikiaga wanajitapa namna iyo. kwamba wao ni chama rafiki cha ANC cha gwiji Madiba. lakini nimeshituka niliposikia wanmekopi katiba ya kenya. kwa nini? why kenya? kwa nini wasikopi ya rafiki yao ANC?
ICL - South Africa - Constitution - Table of Contents
Hata ANC ya leo siyo ile ya kabla ya Ukombozi. Na yenyewe iko kwenye downward spiral sababu ya corruption, cronysim, nepotism, etc.Pumba, kasome historia ndio urudi hapa!
mijitu mingine kwa kuleta utumbo humu jf yamezidi. Hiyo katiba tuliyokopy ni ipi?
Kinyesi, simply.
Watanzania bwn,eleweni madai. Hata mimi ningeulizwa kama katiba imetolewa kenya ningebisha. Mi najua tangu miaka ya70 tuna katiba ile ile sasa ya kenya imekopiwaje? Labda ulete hoja ya kukopi Muswada wa kuandaa sheria ya kuunda katiba mpya ,lakini si kukopi katiba. Ikumbukwe kuwa mpaka leo haijatungwa katiba mpya hata page1,je katiba iliyokopiwa ni ipi?