Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
Michakato ya katiba mpya na vazi la taifa yote inaongozwa na serikali ya CCM. Tumeona ule wa vazi la taifa pamoja na kutumia mamia ya mamilioni ya wapiga kura, ulikufa kibudu.
Nilishasema tena kuwa serikali ya CCM haina uwezo wa kuleta katiba mpya, huu mchakato unaoendelea pengine tuuite "kula tizi"...
Kama wameshindwa tu mchakato wa vazi la taifa, itakuwa miujiza kusimamia mchakato wa katiba mpya...