Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
CCM ni waabudu shetani, kwenye maandiko tunaambiwa kuwa shetani ni muongo na ni baba wa uongo wote duniani, na pia shetani kazi yake kuiba, kuua na kupora kama CCM wanavyoiba kura na kuua wapinzaniKama Wana CCM Wana dini zao wanazoziamini, ni kwa nini huwa hawapendi ukweli usemwe?
Dini yoyote ile iwe ya kipagani, kibuddha, kiislamu, kibaniani, kikristo, karibu zote msingi wake mkuu ni kusema ukweli.
CCM dini yao ni ipi ambayo haitaki ukweli usemwe?
Kama nauona mwanga kwenye andiko lako...CCM ni waabudu shetani, kwenye maandiko tunaambiwa kuwa shetani ni muongo na ni baba wa uongo wote duniani, na pia shetani kazi yake kuiba, kuua na kupora kama CCM wanavyoiba kura na kuua wapinzani
Lakini si misingi ya dini hizo si wanaijua? Muislamu au mkristo wa kweli anachukiaje ukweli ukisemwa?Watu wengi wapo kwenye dini kwa sababu walizaliwa tu kwenye hizo dini ila sio kwamba wanamaanisha sana.
Wanaigiza, Mungu ni wetu sote na Mungu hajaribiwi ukitaka kujua utukufu wa Mungu ndiyo maana viongozi wa dini wamewakumbushaKama Wana CCM Wana dini zao wanazoziamini, ni kwa nini huwa hawapendi ukweli usemwe?
Dini yoyote ile iwe ya kipagani, kibuddha, kiislamu, kibaniani, kikristo, karibu zote msingi wake mkuu ni kusema ukweli.
CCM dini yao ni ipi ambayo haitaki ukweli usemwe?