Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Methali Umeikosea Kidogo..Huu moto wa CHADEMA ni Kuni za moto wa kijani ndani ya CCM kati ya Tanganyika na Zanzibar.
Tutaongea lugha moja ya kupindua meza na kurejesha mamlaka na kufanya marekebisho ya katiba haraka sana.
Embe chini ya mnazi haitatokea Tena.
Sio mimi ni malaika wa bwana wameona mbali.
Pang Fung Mi
Asante sana πππ Asiye na mwana hubeba jiweMethali Umeikosea Kidogo..
Mchelea mwana Kulia Hulia mwenyewe
Asiye na Mwana hueleka Jiwe
Chadema hihi iliyo mpokea luwasaHuu moto wa CHADEMA ni Kuni za moto wa kijani ndani ya CCM kati ya Tanganyika na Zanzibar.
Tutaongea lugha moja ya kupindua meza na kurejesha mamlaka na kufanya marekebisho ya katiba haraka sana.
Embe chini ya mnazi haitatokea Tena.
Sio mimi ni malaika wa bwana wameona mbali.
Pang Fung Mi
Chaguo letu ni Mh Lissu.Huu moto wa CHADEMA ni Kuni za moto wa kijani ndani ya CCM kati ya Tanganyika na Zanzibar.
Tutaongea lugha moja ya kupindua meza na kurejesha mamlaka na kufanya marekebisho ya katiba haraka sana.
Embe chini ya mnazi haitatokea Tena.
Sio mimi ni malaika wa bwana wameona mbali.
Pang Fung Mi
Luwasa au sio?Chadema hihi iliyo mpokea luwasa
Luwasa au sio?