Kama CHADEMA wanaona Polisi hawakuwa na sababu za msingi kuzuia maandamano ya amani, kitu gani kinawazuia kuwafikisha Polisi Mahakamani?

hata wakipeleka mahakamani tayari wameshashindwa kuandamana hata wakienda kushinda kesi wakiandaa maandamano mw=engine nayo yanazuiwa wanaenda tena mahakamani ?
 
Mahakama ipi??
Ile ile Rostam aliyosema kiongozi wa serikali anapiga simu jaji apindue hukumu?
 
hata wakipeleka mahakamani tayari wameshashindwa kuandamana hata wakienda kushinda kesi wakiandaa maandamano mw=engine nayo yanazuiwa wanaenda tena mahakamani ?
Mahakama ikishatoa uamuzi, halafu alieshindwa afanye makusudi kukiuka, basi inabidi Mahakama iamuru akamatwe. Ndio maana hulishitaki jeshi la Polisi unamshitaki IGP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…