Kama kichwa kinavyojieleza, CHADEMA wanaendelea kutuonesha kuwa hakuna wanaloliweza.
1. Uongozi wa kifalme: Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu. Hili ni tatizo katika uongozi wao. Hata kama katiba yao inamruhusu, angekuwa wa kwanza kupinga katiba ya namna hiyo.
2. Rafu, rushwa imetamalaki huko kwao na hakuna wa kukemea.
Huu ni udhaifu mkubwa sana.
Naomba Serikali ifute ruzuku za vyama vya siasa.