Kama CHADEMA ya sasa ndio ina vijana wa namna hii basi kazi ipo!

Mbona ameuliza swali zuri sana....?!

Unapokuwa unafungamana na taifa moja au upande m'moja, ule upande ukiathirika basi na wewe utaathirika na hautakuwa na pa kukimbilia. Ila kama haufungamani na popote ni raisi pale yanapokusibu makubwa utaweza kwenda kuomba msaada upande mwingine haraka sana.
 
CHADEMA ilikufa tangu awamu ya tano!

Ndio wanajikusanya sasa waanze upya.

No wonder hata hoja zao za kitoto.
 
Umeandika kishambenga sana, mwanasiasa "nguli" na "muhimu sana" ndani ya Chadema?!

Huyo mtoto wa kike bado mbichi ndio anajifunza mambo, mbona huko kwenu hadi wazee wanakosea?
🤣🤣🤣kweli kishambenga shambenga!!!!
 
Yupo sahihi, mfano issue ya mafuta. Russia pipa wanauza $30, Kama hatufungamani inapaswa kununua huko Kama India wanavyofanya
Hayo ni mafuta ghafi,hayajasafishwa,hujasafirisha.Kuna gharama ya kusafirisha,kuna gharama ya kusafirisha,bado kodi mbalimbali,pia hazijajunlishwa.
 
Umeandika kishambenga sana, mwanasiasa "nguli" na "muhimu sana" ndani ya Chadema?!

Huyo mtoto wa kike bado mbichi ndio anajifunza mambo, mbona huko kwenu hadi wazee wanakosea?
Wabichi,ndio wanatakiwa,wawe na elimu,wawendana na wakati wao,wa sasa.Wajuwe dunia inakwendaje.
 
Umeandika kishambenga sana, mwanasiasa "nguli" na "muhimu sana" ndani ya Chadema?!

Huyo mtoto wa kike bado mbichi ndio anajifunza mambo, mbona huko kwenu hadi wazee wanakosea?
Mbichi gani huyu kigagula

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…