Kama CHADEMA ya sasa ndio ina vijana wa namna hii basi kazi ipo!

Mfumo wa siasa Tanzania ni hivi ukiwa Team A unatakiwa kupinga jambo lolote la Team B haijalishi ni nini…Sio Chadema wala CCM kwenye swala la utashi kwenye siasa kwa vijana nyakati hizi za karibuni wote hamna kitu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…