Samia ni IOWA IQ hawezi ku reason that much deep!Ikiwa Chalamila atafanya hivyo, tafsiri itakuwa hivi:-
1. Serikali haina nia njema kuelekea chaguzi zinazokuja huko mbeleni kwani kama Serikali ingekuwa na nia njema, badala ya kutumia nguvu nyingi za Askari kuzuia Maandamano, wangetumia nguvu hizo kufanya mazungumzo na CHADEMA.
2. Itaonesha wazi kwamba, Tanzania hakuna tena Demokrasia.
3.Dunia itakuwa upande wa CHADEMA, kwani CHADEMA hawana Jeshi lakini Serikali inatumia Jeshi.
4. Mama atakuwa ameingizwa kwenye mtego ambapo kijinasua kwake ni kwa fedheha.
Uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? Nini maana ya demokrasia kwa tafsiri unayoijua wewe? Unafikiri ni kwa nini wanataka kuandamana? Chanzo cha mawazo ya kuanza maandamano ni nini?Yaani mmeshindwa kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima mnakuja kujificha kwenye maandamano haramu ya panyarodi π
Kama raia mwema na huru, natoa wito kwa majeshi ya ulinzi na usalama, bila hurumaaaaa na bila kumuonea mtu haya ashukhulikiwe vilivyo kwa kuzurura na kuchafua mazingira ambayo mtakua mnayafanyia usafi tar23 na 24..
Haiwezekani na wala sio ustaarabu yaani nyie msafishe mazingira halafu panyarodi haramu waje wachafue mazingira na kusumbua raia wanaofanya biashara na shughuli zao za kujipatia kipato halali π
unadhani kwa nini vyombo vya ulinzi na usalamaTZ wameamua kufanya usafi tar 23 na 24 ? Chanzo cha kufanya usafi wa mazingira ni nini πUwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? Nini maana ya demokrasia kwa tafsiri unayoijua wewe? Unafikiri ni kwa nini wanataka kuandamana? Chanzo cha mawazo ya kuanza maandamano ni nini?
una mawazo miyeyusho sana π ila fresh tu ni uhuru wa maoni πccm itakuja kuondolewa na mtutu ndio chama pekee kimabaki afrika
Mkuu usiwaamsheee.....Ikiwa Chalamila atafanya hivyo, tafsiri itakuwa hivi:-
1. Serikali haina nia njema kuelekea chaguzi zinazokuja huko mbeleni kwani kama Serikali ingekuwa na nia njema, badala ya kutumia nguvu nyingi za Askari kuzuia Maandamano, wangetumia nguvu hizo kufanya mazungumzo na CHADEMA.
2. Itaonesha wazi kwamba, Tanzania hakuna tena Demokrasia.
3. Dunia itakuwa upande wa CHADEMA, kwani CHADEMA hawana Jeshi lakini Serikali inatumia Jeshi.
4. Mama atakuwa ameingizwa kwenye mtego ambapo kijinasua kwake ni kwa fedheha.
kwani ujifunzi au kada mtiifuuna mawazo miyeyusho sana π ila fresh tu ni uhuru wa maoni π
mfumo wa Jeshi TZ ni mgumu na usiowezekana kuingilika na kuanzisha mapinduzi πokwani ujifunzi au kada mtiifu