Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Habari zenu wakuu natumai muwaziwa wa afya.
Nikijikita kwenye mada husika ninaposema pikipiki za kichina hapa namanisha KINGLION, FEKON, SINORAY, HAOJUE n.k.
Maana kwa huku mkoani hizi ndio pikipiki pendwa kwa bodaboda tofauti na jijini Dar kwenye TVS & Boxer.
Hivyo basi napendekeza maboresho katika
chasis inyanyuliwa kidogo maana pikipiki hizi zipo chinichini sana dereva na hata abiria akikaa anakua kama kadumbukia hivi na kuumiza sana uti wa mgongo.
Natumai wakifanya hivi watauza sana.