MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
Wadau naomba kufahamishwa juu ya Umuhimu wa Cheo cha NAIBU WAZIRI MKUU.
Pamoja na Sheria inayompa Rais nguvu ya kuanzisha CHEO chochote nimekuwa najiuliza Kwanini RAIS MWINYI hakukiingiza kwenye KATIBA Cheo licha ya kuwa na hiyo nguvu?
Pili kama Hicho Cheo kina Tija kwa Taifa kwanini MARAIS wa Awamu ya 3 ,4 na 5 hawakuwa na NAIBU WAZIRI MKUU?
Mwenye Majibu tafadhali atujibu.Binafsi