Wanachitchat habari zenu.
Nisaidieni ninachowaza. Kila nikitazama tv za tanzania naona tangazo: "Kipindi hiki kinaletwa kwa ushirikiano na Cocacola"
au "kipindi hiki kinaletwa kwenu na cocacola"
Matangazo ya aina hiyo ni mengi mno, mpaka nikawaza, hivii, cocacola isingekuwepo hivyo vipindi visingeoneshwa?
Ama kweli tv za tanzania zinaendeshwa na cocacola, ni bora waachane na hayo majina eti x tv, abc tv nk. wajiite tu cocacola tv!