professional ethics
Senior Member
- Dec 24, 2023
- 108
- 350
Kama vile condom zinagawiwa Bure Basi na pads ziwe zinagawiwa bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hivi mnaoletaga hii mada mnatumiaga nin kufikiria [emoji23]
Hivi hamuwez kuleta mada yenu bila kuzihusisha condom?
Kwa hio serikali ikisema haitoi condom za bure zote ziwe za kuuza mtafurahi na kusema kwa kuwa condom zinauzwa na ped ni sawa kuuzwa?
Jengeni hoja kuonesha umuhimu wa kugawa Ped bure ila sio kuleta na mada ya condom humo ndani,
Niny ndio mnaolinganishaga Mke na Mama
Usipovaa Pedi unaugua sexual transmitted diseases ?!wazalishaji wa hizo taulo waingie mitaani na kujenga Waste burning incinerator
pedi zinazagaa sana mitani walah
nikulize wewe binti yanguUsipovaa Pedi unaugua sexual transmitted diseases ?!
Sawa mama yangu,wewe ushafika menopause!?nikulize wewe binti yangu
hata mjomba ni mama.si ndio bintiSawa mama yangu,wewe ushafika menopause!?
Hivi zamani wamama walikuwa wanatumia nini?Ilipaswa Pads zigawiwe bure hasa kwa mabinti chini ya umri wa miaka 20 basi tu umaskini.
CO ziendelee hivyo hivyo kugaiwa bure uhamasishaji wa matumizi Uendelee kufanyika kwa viwango vya juu sana.
Acha bangi.😂Hivi zamani wamama walikuwa wanatumia nini?
Bangi vipi tena wakati nataka kujuaAcha bangi.😂