Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Kwani umelazimishwa wasafi ndo babalaoKwa kuona kwangu kwa kadri navyozijua hizi fm radios,nahisi Clouds wako vizuri kimkakati na management,kama ni changamoto zitakuwa kila kampuni,ila nawaona wako vizuri.
ina maana ukisema hawezi unamaanisha
Hata share/hisa za diamond Radioni kapewa kama zuga tu ila hana mamlaka nazo
Ndivyo hivyo clouds na wasafi ni za joe diamond yupo kama mpambaji tu
au unataka kusema? maana hawezi vipi sasa
We jamaa ungejua Milard Ayo kila siku anatimba ofisi za Wasafi wala usinge muweka kwenye hiyo list na hao machoko.
company rulesKama ni kweli mbona hapost chochote kuhusu Diamond ama wasafi??