Kama Dini zimegundua sayansi mbona sijaona mpaka leo mlichozindua zaidi ya kukata mwanadamu na vya Duniani?

Kama Dini zimegundua sayansi mbona sijaona mpaka leo mlichozindua zaidi ya kukata mwanadamu na vya Duniani?

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Nakasirika sana unasikia mtu ana kwambi sijui dini imegundua sayansi tena hawa ndugu zangu ndio kabisa ana kwambia sijui wanasayansi wanakopy kupitia kitabu kilichoshushwaz " hata ukiwauliza kilishushwaje kimya".

Vitu vyote mnavyo tumia leo mnawaita makafiri !. kumbukeni teknolojia ilitoka kwa watu ambao walijitoa kwenye utumwa wa dini kuwakomalia kwamba dunia ni flat.

Mtu anakuja kukwambia vitu vya shetani sijui ni elimu dunia hapo unatumia gari lake,ndege yake,umeme wake,simu,dawa zake,nguo zake za kisasa,nyumba yake na n.k zote kakutengenezea.

kuna wengine mnatumia silaha za waliowatengenezea na mapanga sasa mmeyafuta mnaweka hizo silaha kama bunduki kabisa alafu mkiwaita makafiri !.

Tuje hawa watoa mapepo na wakusanya sadaka yani hataki kabisa kusikia dunia inaendelea yeye ana kwambi kutakuwa na chapa 666.

Kama dini zingekuwa zina sayansi hii tunayo tumia saudia arabia na asinge nunua silaha ndiko zinatoka.

Na nyie wakristo sijui wapi msingekuwa mnanunua kipaza sauti kilipotoka.

Leo Nimemkimbiza mtu ananiambie mambo ya elimu dunia sio mazuri bahati mbaya akujua sio mshika kobazi ni mwanadamu mtaka teknolojia.
 
Back
Top Bottom