maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,800
- 2,339
kama dunia inavyozunguka kwenye mhilimili wake pia jua hujizungusha kwenye mhimili wake kwa kuwa yenyewe sio kubwa ni ndogo wenzake stars zipo kubwa zaidi yake bila shaka na wanasema tunaiona kubwa kwa kuwa I'll karibu na sisi.
Galaxy ina miliona na billions of stars kwa kila moja huzunguka mwenzake ikiwa ainaya maisha yake sio lazima wanadamu kwa kuwa hali ya hewa ni tofauti ingawa naamini mineral composition inaweza kuwa na tofauti kidogo
vile vile kuna mvua na kila sayar INA atmosphere yake tofauti kwa kuwa gesi inayounda inaweza kuwa tofauti
tujadiliane kuongeza fahamu zetu kuhusu kazi kubwa iliyopo kwenye universe nadhani kwa wale waliosoms physic wanajua kuna theoretical physic. unafikiri kanakwamba umenda huko na kuvinjari kwenye mifumo mongine ya sayari