Kama Elimu Bure watoto wanataga mayai namna hii hiyo Bima ya Afya kwa wote sijui itakuwaje!

Kama Elimu Bure watoto wanataga mayai namna hii hiyo Bima ya Afya kwa wote sijui itakuwaje!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ninavyofahamu Sera ya Elimu Bure, Bima ya Afya kwa wote na Cement mfuko tsh 5000 Ilikuwa ni Sera ya CHADEMA yule shujaa Magufuli aliipora tu.

Sasa kama CCM itataka kufanikiwa kwenye hizi Sera ni vema wakawashirikisha wabeba maono ambao ni CHADEMA vinginevyo yajayo yakifurahisha.

Mungu wa mbinguni awabariki.
 
Kwanza ndugu johnthebaptist ,mbeba maono huwa na njia ya kuyafikia hayo maono yake.

Pili, ushirikishwaji haupaswi kuwa kwa vyama vya siasa pekee, kwani Watanzania wote wana maono ya kipekee.

Tatu, kama ni swala la wananchi wote, ni vyema kila mwananchi akashirikishwa ili mwisho wa siku tuje na mfumo ambao hakuna mwananchi atakayeachwa nnje.
 
Bima itasumbua ila itafanikiwa tukiacha kumbatia umasikini na unyonge

Tuchague ubepari au ujamaa
 
Back
Top Bottom