Kama fedha isingelikuwa tatizo kwako, ungemiliki magari mangapi kwa wakati mmoja?

Kama fedha isingelikuwa tatizo kwako, ungemiliki magari mangapi kwa wakati mmoja?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Taja aina ya magari na jinsi utakavyoyatumia.

Kwa mfano:
1. La kwendea kazini!
2. La kwendea sokoni!
3. La kuwapelekea watoto shule!
4. La safari za mbali!
5. N.k.
 
Mimi pesa isingekuwa tatizo ningemiliki gari 3.

1. Mersedes benz saloon ya chini kwa mitoko ya bata na wife

2. Vorkswagen amarok double cabin yenye bodi nyuma kwa ajili ya mizunguko yangu binafsi, na mitoko ya ku hustle

3. Passo kwa ajili ya emergency.. hela ya mafuta imegoma kutoka mpesa na bank hakuna network hapo nawasha passo yangu nasepa
 
Mimi:
1). 2020 Audi A4 sedan rangi ya silver kwa ajili ya mke wangu kwendea kazini

2). 2022 Ford Ranger Double Cabin manual kwa ajili ya mizunguko yangu ya kawaida na ya shambani

3). 2022 Toyota LandCruiser 300 lc rangi nyeupe kwa ajili ya safari zangu za mbali

4). Mercedes Benz S Class rangi nyeusi kwa ajili ya mitoko maalum
 
1. mercedes benz s class 2021 na mercedes benz GLE couple 2023 kwa ajiri ya wife
2.Range rover vague nyeupe ya kuzungukia hapa town
3.jeep wrangler 2022 hii ya kwendea shambani au safari za chaka tu chaka
4.Rolls royce phantom hii kwa ajiri ya kwendea kwenye event mbalimbali
5. Mitsubishi evolution na Ford mustang Shelby hii kwa ajiri ya burudani ya rally ligi ya mbio za magari sitokosekana
 
Yaani S class unaifanya iwe ya mkeo, kwamba haujaiona Harrier, acha utani na gari yangu
 
Yaani S class unaifanya iwe ya mkeo, kwamba haujaiona Harrier, acha utani na gari yangu
Ni sahihi kwa sisi tunaohusika na Agizo la "mpende mke wako kama mwili wako", au wewe unaonaje?
 
images-2.jpeg

1.toyota prado
2.pick up
3.hiace ndugu naimodify inakuwa kama gheto ndani
4.landcruiser defender
 
Taja aina ya magari na jinsi utakavyoyatumia.

Kwa mfano:
1. La kwendea kazini!
2. La kwendea sokoni!
3. La kuwapelekea watoto shule!
4. La safari za mbali!
5. N.k.
Kwa akili hizi ndio maana huna hela
 
Back
Top Bottom