GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Yaani S class unaifanya iwe ya mkeo, kwamba haujaiona Harrier, acha utani na gari yangu1. mercedes benz s class 2021 na mercedes benz GLE couple 2023 kwa ajiri ya wife
2.Range rover vague nyeupe ya kuzungukia hapa town
3.jeep wrangler 2022 hii ya kwendea shambani au safari za chaka tu chaka
4.Rolls royce phantom hii kwa ajiri ya kwendea kwenye event mbalimbali
5. Mitsubishi evolution na Ford mustang Shelby hii kwa ajiri ya burudani ya rally ligi ya mbio za magari sitokosekana
Ni sahihi kwa sisi tunaohusika na Agizo la "mpende mke wako kama mwili wako", au wewe unaonaje?Yaani S class unaifanya iwe ya mkeo, kwamba haujaiona Harrier, acha utani na gari yangu
Kwa akili hizi ndio maana huna helaTaja aina ya magari na jinsi utakavyoyatumia.
Kwa mfano:
1. La kwendea kazini!
2. La kwendea sokoni!
3. La kuwapelekea watoto shule!
4. La safari za mbali!
5. N.k.