Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
🤣🤣Simba angalieni sana hili jambo, uwanja wa Bunju una majini, chamazi complex kuna jini, wachezaji wametupiwa majini, viongozi wametupiwa majini, makocha wametupiwa majini had sisi mashabiki kasoro mm tu mshirikina namba moja hawaniwezi hata wafanye nn.
Mchezaji Saido Ntibazonkiza ni very asset ktk timu yetu, jamàa anajua sana boli, ana nguvu na sifa zote lkn Ntibazonkiza huyu wa Simba simuoni kabisa kabisa akionyesha ubora wake,
Naamin Ntibazonkiza ametupiwa jini, Simba shughulikieni hili
Dokta wewe shabiki wa timu gani kwani?🤣🤣
Majini FC wanasemaje kwani
Yanga Fc aka Majini FC🤣🤣🤣
Simba Sc..Dokta wewe shabiki wa timu gani kwani?
Sasa yule aliechoka na Majini ni mchezaji wa wapi? Sio Misri? Sio Congo DR?Simba Sc..
Mkuu
Lakini anasema katupiwa Na Yanga😅😅Sasa yule aliechoka na Majini ni mchezaji wa wapi? Sio Misri? Sio Congo DR?
Lete screenshotLakini anasema katupiwa Na Yanga😅😅
Lete screenshot
Wapi aliposema Yanga wamemtumia Majini? Amesema ...nmechoka na Majini Wallah
Nilijua lazima utasema hivi nikaficha silaha Moja "mwanajeshi kamili hatangulizi Silaha Kubwa Vitani"😅😅Wapi aliposema Yanga wamemtumia Majini? Amesema ...nmechoka na Majini Wallah
Hakuna aliposema nmechoka na Majini ya Yanga Wallah kwa hio labda amechoka Majini ya huko Misri alipo au Majini ya Congo DR
Ndio wamefanya nini?Nilijua lazima utasema hivi nikaficha silaha Moja "mwanajeshi kamili hatangulizi Silaha Kubwa Vitani"😅😅View attachment 2901562
Rudi kwenyr hizo post zote na post yake na post ya manara alivyomsihi afute na huyo jama alipomwambia watakuwa ni simba alivyomjibu unganisha Dots Zen njoo na Jibu..Ndio wamefanya nini?
Hilo la Ntibazonkiza na mimi niliwahi kuliwaza kitambo sana maana zile anguka zake kwa kweli siyo za kawaida na ndiyo sababu iliyofanya niache kumuongelea na hata issue za kina Baleke kushindwa kuperform hadi kuondoka nikaamua ku mute.Simba angalieni sana hili jambo, uwanja wa Bunju una majini, chamazi complex kuna jini, wachezaji wametupiwa majini, viongozi wametupiwa majini, makocha wametupiwa majini had sisi mashabiki kasoro mm tu mshirikina namba moja hawaniwezi hata wafanye nn.
Mchezaji Saido Ntibazonkiza ni very asset ktk timu yetu, jamàa anajua sana boli, ana nguvu na sifa zote lkn Ntibazonkiza huyu wa Simba simuoni kabisa kabisa akionyesha ubora wake,
Naamin Ntibazonkiza ametupiwa jini, Simba shughulikieni hili