Kama Gwanengy hawakuwa Avic Town walikuwa wapi Bw.Karia?

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Wengi tumekusikiliza ila naona ni kama alikuwa anajipendekeza kwa Utopolo, we unasema Gwanengy hawakuwa Avic ilikuwa propaganda lakn kila nilipokuwa nakusikiliza hujasema Gwanengy walikuwa wapi.We umekazania t kusema propaganda basi.

Tuambie Gwanengy walikuwa wapi?
 
Una uhakika Karia yupo humu na atasoma huu ujumbe wako?
 
Wengi tumekusikiliza ila naona ni kama alikuwa anajipendekeza kwa Utopolo, we unasema Gwanengy hawakuwa Avic ilikuwa propaganda lakn kila nilipokuwa nakusikiliza hujasema Gwanengy walikuwa wapi.We umekazania t kusema propaganda basi.

Tuambie Gwanengy walikuwa wapi?
Tokea lini akawa msemaji?Na kwanini ajibu sasa hivi mbona asiseme tokea wiki iliyopita.
Kwani waliweka kambi wapi?Tuambie Karia inaelekea unajua!
 
Waliokuwa naye studio nao vilaza, nchi nyingine kiongozi akikutana na waandishi wa habari jasho linamtoka Ila huku kwetu wanaenjoy.
 
Wengi tumekusikiliza ila naona ni kama alikuwa anajipendekeza kwa Utopolo, we unasema Gwanengy hawakuwa Avic ilikuwa propaganda lakn kila nilipokuwa nakusikiliza hujasema Gwanengy walikuwa wapi.We umekazania t kusema propaganda basi.

Tuambie Gwanengy walikuwa wapi?
Ukishajua walikua wapi itakuongezea nini
 
Back
Top Bottom