Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Atakuambia walikuwa Gezaulole 😂😂Tuambie Gwanengy walikuwa wapi?
Una uhakika Karia yupo humu na atasoma huu ujumbe wako?Wengi tumekusikiliza ila naona ni kama alikuwa anajipendekeza kwa Utopolo, we unasema Gwanengy hawakuwa Avic ilikuwa propaganda lakn kila nilipokuwa nakusikiliza hujasema Gwanengy walikuwa wapi.We umekazania t kusema propaganda basi.
Tuambie Gwanengy walikuwa wapi?
Tokea lini akawa msemaji?Na kwanini ajibu sasa hivi mbona asiseme tokea wiki iliyopita.Wengi tumekusikiliza ila naona ni kama alikuwa anajipendekeza kwa Utopolo, we unasema Gwanengy hawakuwa Avic ilikuwa propaganda lakn kila nilipokuwa nakusikiliza hujasema Gwanengy walikuwa wapi.We umekazania t kusema propaganda basi.
Tuambie Gwanengy walikuwa wapi?
Ukishajua walikua wapi itakuongezea niniWengi tumekusikiliza ila naona ni kama alikuwa anajipendekeza kwa Utopolo, we unasema Gwanengy hawakuwa Avic ilikuwa propaganda lakn kila nilipokuwa nakusikiliza hujasema Gwanengy walikuwa wapi.We umekazania t kusema propaganda basi.
Tuambie Gwanengy walikuwa wapi?