Kama hakimu aliyekuhukumu amekutwa na vyeti fake, hukumu aliyotoa itakuwa null and void?

jakarason1974

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
103
Reaction score
50
Ikitokea umehukumiwa na Hakimu au Judge mwenye vyeti fake...HUKUMU itakawa NULL AND VOID... Maana aliyetoa huku hakustahili kusikiliza kesi??
 
Mbona hilo liko wazi kama ilivyowazi kuwa Magufuli ni rais wa awamu ya tano JMT!! Tatizo hata uki appeal kama una vyeti feki utashindwa tena.
 
Kwa mtazamo wangu Jibu rahisi mno ni sawa na wale Tuliofundishwa na walimu wenye vyeti feki elimu, mahalifa na vyeti vyetu havibatilishwi lakini yawezekana mkuu atabatilisha....................
 
Nina shauku ya kusikia jibu la wasomi wetu wa sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…