Kama hakuna tunacho mdai si aachie ngazi

Urais si ni uongozi wa kuwatumikia wananchi na ni wito kama ametimiza kila kitu hakuna tunacho mdai basi apumzike aingie mwingine tumdai au anataka aendelee afanye nini sasa akati kwa uwezo wake amemaliza?
Eti hadaiwi huku Simiyu nzima haina hata lami ya kusingiziwa, achilia mbali maji, afya, elimu n.k ni aibu tupu
 
Lugha za kichawa, uchawa ni ushetani kamili.
 
Urais si ni uongozi wa kuwatumikia wananchi na ni wito kama ametimiza kila kitu hakuna tunacho mdai basi apumzike aingie mwingine tumdai au anataka aendelee afanye nini sasa akati kwa uwezo wake amemaliza?
usikilizwe! una hoja!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…