Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kabisa...Sheria ya asili inasema huwezi kuziba vacuum kwa hewa tupu.
Kama hutaki aende njia ya kushoto,tengeneza njia ya kulia ili apite huko, vinginevyo bado atapita kushoto.CCM Kila siku huishambulia CHADEMA kuwa inapotosha watanzania. Lakini CCM haisemi ukweli ni upi dhidi ya huo wanaouona ni upotoshaji wa CHADEMA.
Kama kinachosemwa na CHADEMA ni upotoshaji na CCM haina ukweli dhidi ya hicho kinachosemwa, basi CHADEMA haifanyi upotoshaji.
Uongo hupingwa kwa ukweli na kama hakuna ukweli dhidi ya uongo, basi huo unaosemwa kuwa ni uongo, NDIYO UKWELI WENYEWE.
Umewaza Kwa kutumia akili na baraka ulizopewa na muumba.Kama hutaki aende njia ya kushoto,tengeneza njia ya kulia ili apite huko, vinginevyo bado atapita kushoto.
CCM ni shetani, ni baba wa uongo.
Hapo chachaCCM Kila siku huishambulia CHADEMA kuwa inapotosha watanzania. Lakini CCM haisemi ukweli ni upi dhidi ya huo wanaouona ni upotoshaji wa CHADEMA.
Kama kinachosemwa na CHADEMA ni upotoshaji na CCM haina ukweli dhidi ya hicho kinachosemwa, basi CHADEMA haifanyi upotoshaji.
Uongo hupingwa kwa ukweli na kama hakuna ukweli dhidi ya uongo, basi huo unaosemwa kuwa ni uongo, NDIYO UKWELI WENYEWE.
Hilo genge la wahalifu nani analisikilizaCCM Kila siku huishambulia CHADEMA kuwa inapotosha watanzania. Lakini CCM haisemi ukweli ni upi dhidi ya huo wanaouona ni upotoshaji wa CHADEMA.
Kama kinachosemwa na CHADEMA ni upotoshaji na CCM haina ukweli dhidi ya hicho kinachosemwa, basi CHADEMA haifanyi upotoshaji.
Uongo hupingwa kwa ukweli na kama hakuna ukweli dhidi ya uongo, basi huo unaosemwa kuwa ni uongo, NDIYO UKWELI WENYEWE.
Gentleman,CCM Kila siku huishambulia CHADEMA kuwa inapotosha watanzania. Lakini CCM haisemi ukweli ni upi dhidi ya huo wanaouona ni upotoshaji wa CHADEMA.
Kama kinachosemwa na CHADEMA ni upotoshaji na CCM haina ukweli dhidi ya hicho kinachosemwa, basi CHADEMA haifanyi upotoshaji.
Uongo hupingwa kwa ukweli na kama hakuna ukweli dhidi ya uongo, basi huo unaosemwa kuwa ni uongo, NDIYO UKWELI WENYEWE.
Lumumba buku7fc mshavamia sasaNaona umechanganyikiwa kabisa
Kwako mkata viuno wa lumumba buku7fcGentleman,
binafsi na pengine na wadau wengi zaidi wa JF tunaijua chadema kama kikundi cha kutukana na kuporomosha matusi hasa humu jukwaani dhidi ya wote wenye maoni tofauti na yao kuhusu mambo mbalimbali ya kisiasa, kijamii na kiuchumi.
otherwise,
labda ueleze kwa kina kirefu kidogo hiyo porojo yako na itapendeza π
Yes,Kwako mkata viuno wa lumumba buku7fc
Kata Tena viuno wakuone wewe kizazi Cha mafisadi na mauwaji hapo nchini gamboshiYes,
kutukana na kuporomosha matusi jukwaani ndicho mnachoweza na si vinginevyo π