Jeep wrangler
JF-Expert Member
- Jan 7, 2024
- 1,794
- 3,350
Pole sana, umepona sasa?Endelea kupanda yalikukuta ndio UTAKUJA kujua.
Unajua kutembea ni process nilikua nawa onea watu wivu nikiona wanatembea.
Muda kama huu nilikua najifunza kutembea kama mtoto anae jifunza kutembea..unapiga HATUA mbili tatu unashindwa..Kuna muda nikitembea kidogo natokwa na MACHOZI Ila NASEMA goshiii Mimi ni mwanaume najikaza.
NB. Mimi nilikua najionaga binadamu imara / suree hakuna binadamu special nimepanda BODA BODA kama miaka 10 highway 🛣️ dar es salaam Ila siku moja ikaniweka nyumbani / hospital mwaka MZIMA.
Hakika kijijini inafaa barabara nzima upo peke yako.Boda inafaa kijijini na rough road, mwendo mdogo mdogo tu
For sure siku izii hata niwe na haraka ipii kwenye highway 🛣️ SIPANDI kabisa na pia boda ni usafir ambao kwa Sasa nime uweka kando kabisa.Pole Sana Ila hiyo kitu Mkuu kwa DSM usipande kabisa Mimi jana kuna jamaa bodaboda wa mtaani .
Amefariki Kama utani na jamaa hii ilikuwa ajali yake ya pili ndani ya miezi miwili.
Now huwezi nijua LABDA nikuonyeshe mguu natembea vizuri Sana mkuu MUNGU ni MWEMA.Pole sana, umepona sasa?
Very True.Hakika kijijini inafaa barabara nzima upo peke yako.
Hapa DSM hii kitu haifai
Pole sana Mkuu.For sure siku izii hata niwe na haraka ipii kwenye highway 🛣️ SIPANDI kabisa na pia boda ni usafir ambao kwa Sasa nime uweka kando kabisa.
Mwaka Jana muda kama huu MBONA NILIKUA NAJIFUNZA KUTEMBEA KAMA KICHANGA.
STILL NOW NATEMBEA HUWEZI JUA KAMA NA TATIZO ILA WEWE MWENYEWE SHAHIDI HATA KUNA UZII WANGU UPO HUMU NDANI
Binadamu sisi tupo deligate Sana Sanaa nimeishi Maisha ya ulemavuu kabisa makwapa viganja vinaota sugu yaan kaka ajari barabarani zisikiage tuuu
Upo sahihi kabisa kwa pembezoni ni sawa Ila hapa dar es salaam Hatareee sanaaBoda inafaa kijijini na rough road, mwendo mdogo mdogo tu
Kuna Cha hujitakia ni kama wewe hapo ukajifungie CHUMBANI na jiko la mkaa muda huu ama kumeza sumu ya panya.Kifo ni fumbo
Asante sanaa brother.Pole sana Mkuu.
Mimi SIPANDI NG'OOO BODA BODA SIPANDI NG'OOONisawa nakusema sipendi tena baada yakuachwa😁😁
Lakini ndiovyo sivyo
Hujuii ndio maana TULIO bahatika kusoma RISK MANAGEMENT tuna ungana na Manfred 😁😁Point of interruption, hoja yako haina mashiko, ajali haina kinga mkuu
Scenario ya kumeza sumu ama kujifungia na jiko la mkaa chumbani ni tofauti na hii ya kupanda boda boda!Kuna Cha hujitakia ni kama wewe hapo ukajifungie CHUMBANI na jiko la mkaa muda huu ama kumeza sumu ya panya.
Well said 👏Point of interruption, hoja yako haina mashiko, ajali haina kinga mkuu
Pole mkuuEndelea kupanda yalikukuta ndio UTAKUJA kujua.