M Mushkov JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 667 Reaction score 1,403 Jun 19, 2026 #1 Najaribu kufikiri kidogo hapa. Hali ikiwa kama hivi ilivyo mpaka 2029 na 2030, unafikiri chaguzi ztafanyikaje na hali itakuwaje kitaifa na kimataifa?
Najaribu kufikiri kidogo hapa. Hali ikiwa kama hivi ilivyo mpaka 2029 na 2030, unafikiri chaguzi ztafanyikaje na hali itakuwaje kitaifa na kimataifa?
N narogo JF-Expert Member Joined Aug 25, 2021 Posts 5,450 Reaction score 4,774 Jun 19, 2026 #2 Mushkov said: Najaribu kufikiri kidogo hapa. Hali ikiwa kama hivi ilivyo mpaka 2029 na 2030, unafikiri chaguzi ztafanyikaje na hali itakuwaje kitaifa na kimataifa? Click to expand... CCM pekee watakuwa na uwezo wa kupiga kampeni kwa mali walizokwiba. Wengine watakuwa choka mbaya kwa sanctions
Mushkov said: Najaribu kufikiri kidogo hapa. Hali ikiwa kama hivi ilivyo mpaka 2029 na 2030, unafikiri chaguzi ztafanyikaje na hali itakuwaje kitaifa na kimataifa? Click to expand... CCM pekee watakuwa na uwezo wa kupiga kampeni kwa mali walizokwiba. Wengine watakuwa choka mbaya kwa sanctions
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 12,134 Reaction score 27,519 Jun 19, 2026 #3 Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee. Zikahesabiwa ndani ya saa 72. Maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee. Zikahesabiwa ndani ya saa 72. Maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu.
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,371 Reaction score 28,790 Jun 19, 2026 #4 Mushkov said: Najaribu kufikiri kidogo hapa. Hali ikiwa kama hivi ilivyo mpaka 2029 na 2030, unafikiri chaguzi ztafanyikaje na hali itakuwaje kitaifa na kimataifa? Click to expand... Moto,fire
Mushkov said: Najaribu kufikiri kidogo hapa. Hali ikiwa kama hivi ilivyo mpaka 2029 na 2030, unafikiri chaguzi ztafanyikaje na hali itakuwaje kitaifa na kimataifa? Click to expand... Moto,fire
MAPITO Mwanza JF-Expert Member Joined Aug 21, 2018 Posts 5,995 Reaction score 8,799 Jun 19, 2026 #5 Tunaye Mungu