mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Wadau nimekuwa nafuatilia nyuzi mbalimbali humu juu ya Hati za Simba na Yanga. Kuhusu Hati ya Simba inasemekana anayo Mzee Kilomoni, japo sijajua kwa nini awe nayo mtu binafsi wakati ile ni Klabu ya watu wengi.
Je Hati ya Yanga anayo nani? Naomba kufahamishwa kwa anayejua.
Je Hati ya Yanga anayo nani? Naomba kufahamishwa kwa anayejua.