Kama hati ya Simba anayo Kilomoni, ya Yanga anayo nani?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Wadau nimekuwa nafuatilia nyuzi mbalimbali humu juu ya Hati za Simba na Yanga. Kuhusu Hati ya Simba inasemekana anayo Mzee Kilomoni, japo sijajua kwa nini awe nayo mtu binafsi wakati ile ni Klabu ya watu wengi.

Je Hati ya Yanga anayo nani? Naomba kufahamishwa kwa anayejua.
 
Mzee kutoka kigoma. Akili mali ndio mwenye timu ya yanga.
 
AKILIMALI
 
Mama karume maana zile nikama mali zake
 
Umewahi kuona hati ya jengo la serikali??kaifuate Ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…