Umeandika makorokocho.Wote mnaoshabikia ujinga wa Madagaska, mnajidanganya na kupoteza muda, hamna tofauti na Kinjekitile na Vita ya maji maji tulishatoka huko, isitoshe kama haumini Sayansi iliyopo basi fungeni Vyuo vyote, unawezaje kuamini Dawa ambayo hata anayeitengeza hajui Virus ni nini? Anatibu vipi kama hajui tabia ya virus, na kama haumini kama kuna Virus kwa nini unatumia neno korona? Kwa maana korona ni kundi la virus ambavyo cov19 ni mojawapo.
Acheni ujinga, tuwekeze kwenye elimu tutoke hapa, mambo ya kuamini kuruka na ungo tumeshathibitisha kuwa hayapo.
Uchawi uko hapa chini, tuwekeze hapo, fvck Madagaska!
View attachment 1439488
Intergrase enzyme, muulize Rajolina kama hii kitu amewahi kuisikia.Wote mnaoshabikia ujinga wa Madagaska, mnajidanganya na kupoteza muda, hamna tofauti na Kinjekitile na Vita ya maji maji tulishatoka huko, isitoshe kama haumini Sayansi iliyopo basi fungeni Vyuo vyote, unawezaje kuamini Dawa ambayo hata anayeitengeza hajui Virus ni nini? Anatibu vipi kama hajui tabia ya virus, na kama haumini kama kuna Virus kwa nini unatumia neno korona? Kwa maana korona ni kundi la virus ambavyo cov19 ni mojawapo.
Acheni ujinga, tuwekeze kwenye elimu tutoke hapa, mambo ya kuamini kuruka na ungo tumeshathibitisha kuwa hayapo.
Uchawi uko hapa chini, tuwekeze hapo, fvck Madagaska!
View attachment 1439488
Wote mnaoshabikia ujinga wa Madagaska, mnajidanganya na kupoteza muda, hamna tofauti na Kinjekitile na Vita ya maji maji tulishatoka huko, isitoshe kama haumini Sayansi iliyopo basi fungeni Vyuo vyote, unawezaje kuamini Dawa ambayo hata anayeitengeza hajui Virus ni nini? Anatibu vipi kama hajui tabia ya virus, na kama haumini kama kuna Virus kwa nini unatumia neno korona? Kwa maana korona ni kundi la virus ambavyo cov19 ni mojawapo.

Wasomi wenzako wanaandamana marekani wanataka Bill Gates akamatwe kutokana na mpango wake wa kutaka kupiga hela kupitia miili ya watu. Wanaoamini hii covid-19 ni hulka yake tu ya kujitafutia hela kwa kuzalisha tatizo na kulitatua. Sasa wewe subiri kinga ya wasomi wakina Bill Gates sisi tuko na bidhaa ya Madagascar.Wote mnaoshabikia ujinga wa Madagaska, mnajidanganya na kupoteza muda, hamna tofauti na Kinjekitile na Vita ya maji maji tulishatoka huko, isitoshe kama haumini Sayansi iliyopo basi fungeni Vyuo vyote, unawezaje kuamini Dawa ambayo hata anayeitengeza hajui Virus ni nini? Anatibu vipi kama hajui tabia ya virus, na kama haumini kama kuna Virus kwa nini unatumia neno korona? Kwa maana korona ni kundi la virus ambavyo cov19 ni mojawapo.