Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Kwenye hii picha unaweza kudhani ni picha ya kawaida tu ila kama itatokea upo zako porini na haujapata kufahamu kuna kitu gani mbele yako basi fahamu muda wako unahesabika.
Wapo watakaosema kuwa hapo hakuna kitu ila ukitazama kwa uangalifu utagundua kuna mzee baba ametulia anakupigia mahesabu mazito sana ujichanganye akumalize.
Kuweni makini sana huko mashambani wakuu