Kama hauoni kitu hapo basi upo hatarini

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
3,978
Reaction score
6,739
Kwenye hii picha unaweza kudhani ni picha ya kawaida tu ila kama itatokea upo zako porini na haujapata kufahamu kuna kitu gani mbele yako basi fahamu muda wako unahesabika.


Wapo watakaosema kuwa hapo hakuna kitu ila ukitazama kwa uangalifu utagundua kuna mzee baba ametulia anakupigia mahesabu mazito sana ujichanganye akumalize.


Kuweni makini sana huko mashambani wakuu
 
Picha sijaiona lakini NYOKA ni hatari sana wajameni
 
Huwezi kumuona kwa hiyo picha ila live, hata sisi tuna machale yetu...dk tu unajua kuna fala ananivizia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…