Kama hautumii vyakula hivi, nguvu za kiume utazisikia redioni

Kama hautumii vyakula hivi, nguvu za kiume utazisikia redioni

rashidi abdul

Member
Joined
Oct 24, 2017
Posts
14
Reaction score
8
Nguvu za kiume ni nini?
Huu ni uwezo wa mwanaume kuweza kusimamisha uume wake na kuhimili mda mrefu kwenye tendo la ndoa bila kuchoka kirahisi.
Waswahili wanasema ni “uwezo wa gari kupiga starter lenyewe bila kusukumwa”
Utafiti unaonyesha kati ya wanaume watatu, mmoja ana tatizo la nguvu za kiume kitu ambacho kinaonekana kitakua zaidi siku zijazo.
kwa fursa hii watu wengi wamejiita waganga na kuuza dawa nyingi za uongo wakidai zinaongeza nguvu za kiume ili kujipatia fedha kitapeli.
nakushauri wewe msomaji usiangukie kwenye mtego huo.
Kuna sababu kadhaa ambazo zinasababaisha kupungua kwa nguvu hizo lakini hii sio maada yangu kwa leo ila ntaziongelea session zijazo.

Vifuatavyo ni vyakula ambavyo vinaweza kukurudishia nguvu zako za kiume kwa asilimia mia moja{100%].
· Banana {ndizi mbivu}
Haya ni matunda ambayo yanapatikana kwa wingi nchini kwetu na kwa bei nzuri, enzyme muhimu iliopo kwenye ndizi kwa jina la kitaalamu bromelain huongeza stamina na hamu ya tendo la ndoa.
Pia vitamin B, ambayo hupatikana kwenye tunda hilo huongeza nguvu za mwili.

· Garlic {kitunguu swaumu}:
Kitunguu hichi ni hutumika sana kwenye mapishi ya kiafrika hasa upikaji wa pilau, lakini hufanya kazi vizuri kikiliwa kibichi.
Kitunguu hichi hufanya kazi ya kuongeza mmiminiko wa damu kwa wingi kwenye uume na kufanya mwanaume kustahimili vizuri kwenye tendo hilo.

· Pea nut{karanga}:
Karanga ni moja ya vyanzo vikubwa vya amino acid ambayo kitaalamu inaitwa L-arginine ambayo hufanya kazi ya kulegeza mishipa ya damu ya uume na kuruhusu damu kuingia kwa wingi hivyo kuupa uume nguvu maradufu.

· Chocolate:
Ni chakula kinachopatikana kwa wingi madukani, ambacho kitaalamu kina kemikali zinazoitwa phenylethylamine na alkaloid, ambazo huongeza nguvu na stamina wakati wa tendo la ndoa.

· Blue berries:
Haya ni aina ya matunda ambayo hayapatikani kirahisi nchini kwetu ila yanalimwa san amerika ya kaskazini na hupatikana mara chache mijini kwenye supermarket kubwa kubwa. Matunda haya hufanya kazi kwa kupunguza lehemu{cholesterol} kwenye mishipa ya damu na kufanya damu kupita kwa wingi kwenye mishipa hiyo na kuufanya uume usimame kwa nguvu na kwa mda mrefu.

MWISHO: ni kiasi kidogo tu kinahitajika kwa siku, kwa vyakula nilivyotaja hapo juu.
hivyo sio busara kula vyakula hivyo kwa wingi na kuacha kwa wiki moja.
Ni vizuri ukala kiasi kidogo kwa mda mrefu ili upate matokeo mazuri.
 
Unamaanisha umepata mwarubaini wa wanaume wa Dar?[emoji53][emoji53][emoji53]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanaume wa dar mpooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Aaah wapi Mbona mimi nakula chakula cha aina moja na niko imara kama simba, Kama unazungumzia wanaume wa dar es Salaam hapo sawa
 
Amini usiamini JOTO ni kitu kibaya sana kwa heshma ya mwanaume..kutokana na maisha ya Dar jins yalivyo, masela ushababi unapungua kila siku sababu ya Joto na misosi ya kipuuzi
Yeah ni kweli mkuu, nilipokuwa dar huwa nilikuwa najisikia uume wangu uko kawaida tu, nikaenda home mbeya kutembelea ndugu, chakula kule makande, wali, vitu vingi vya kiasili sana. Pia kipindi kile ndio wanavuna karanga nilizila sana aiseee, ikawa mpaka nayashangaa maumbile yangu yanaonekana makubwa tofauti na mwanzoni, pia ile asb nikiamka nimechafuka boxers daaaahh halaf kule chini dushe limesimama balaa, ndio good morning nilizokuwa napata daily.
Joto la dar halifai kweli.
cc. Norshad
 
Back
Top Bottom