Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
KAMA HAUUZI BASI USIINADI SASA RAFIKI
Kama sehemu zako za..sio njia yako namba moja ya uchumi basi acha kujinadi. Naam kila mwanamke anapata pesa kupitia huo...wake Penginepo kwa kuhongwa ama kupata huduma kwa mume wake. Akimhudumia kama mke
Lakini kama wewe hutumii sehemu zako hizo kama biashara basi punguza kuzinadi basi😀
Punguza kuzielezea thamani yake punguza kuzielezea kwa kuzinasibisha na pesa basi😀
Iko hivi kweli kuwa mwanamke kutakuletea pesa lakini kunasibisha uanamke wako kama sababu ya kupata pesa kunaweza kukutafsiri kama uko sokoni rafiki unafanya biashara 😀
Naam wapo wanawake kweli wao wanaotumia sehemu zao kuishi. Inaweza kua kwa kujipanga barabarani. Kujipanga kwenye makasino ujiuze mitandaoni, ama njia nyingine wanayotumia
Hawa mara nyingi hujinadi, huweka mienendo yao ya kimaisha kuelekezeana na pesa. Ndio wale utawasikia bila kuwa na milioni kadhaa hutani... Hawa wengi ni wauzaji wa kisayansi
Wanatumia miili yao na uanamke wao kama bidhaa kuna aina ya picha na maneno wanayo ambayo watu huwafanya hujua hii biashara
Wenye pesa zao huenda kununua bidhaa hizo
Sasa kama wewe huuzi wala hutumii sehemu zako kama njia ya kukuingizia kipato basi si upunguze kujinadi au acha kabisa kujinadi😀
Mwanaume anafahamu fika kwamba ni wajibu wake kutumika kipesa juu ya mwanamke
Wewe hupaswi kujinadi kuhusu kupewa pesa ili umilikiwe kwasababu mwanaume yoyote anafahamu fika anapoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanamke pamoja na mambo mengine inabidi atumike kipesa
Hii wala haihusiani kama mnashiriki ama lah
As long as tayari mmeingia kwenye uhusiano basi matumizi ya pesa kwa mwanaume hayakwepeki na hili wanalijua kwasababu ni wajibu wa mwanaume kuhudumia mahusiano
Maeneo gani atatumika kipesa?
Kwenye mitoko mbalimbali, kwenye kukusaidia katika changamoto mbalimbali, kwenye kukuwezesha katika majukumu mbalimbali
Kwenye kufanikisha mipango mbalimbali
Kwenye kuwezesha mahitaji yako mbalimbali
Yaani hiki ni kitu ambacho mwanaume anakijua fika na hahitaji kuambiwa. Haiwezekani mwanaume akawa na uhusiano na mwanamke kisha yeye anapiga butu tu
Kama yupo mwanaume wa aina hii kuna mawili
1. Hakupendi
2. Anakutumia
Naam kama ameamua kukutumia na wewe umekubali kutumika basi atachukua vyako bure lakini akipata anayempenda na kumthamini atamhudumia kwanini?
Kwasababu mila zetu zimeweka hizo huduma kutoka kwa mwanaume kwenda kwa mwanamke. Kama ambavyo kuna huduma ambazo zimewekwa na mwanamke kwenda kwa mwanaume. Kwahiyo jamii tangu awali tayari ilishaweka mgawanyo wa majukumu.....