Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Aiseeh!
Uongo unasifa zake. Unakanuni zake. Uongo unahitaji watu wenye Akili kubwa ili kuufanya uaminike na uonekane ni KWELI.
Sasa nimemsikiliza Wenje nikaishia kucheka tuu. Kama hawa ndio watu ambao Mbowe anawategemea na ndio nguzo itakayobaki ya CHADEMA Basi Wanachadema watakuwa wamepoteza.
Uongo wa kitoto Kabisa.
Hata watoto wa zama hizi wa elfu mbili kuwapa Uongo kama huu ni kutaka wakudharau tuu.
Ati tangu 2022 alikuwa Team Lisu 😂😂😂
Nawapa Kanuni, huwezi kuwa muongo Mzuri kama sio Msemaji WA kweli mzuri.
Mtu yeyote ambaye ni Msema kweli mzuri inatarajiwa atakuwa na uwezo mzuri wa kutunga uongo unaofanana na Ile kweli anayoisemaga.
Ili Uongo uaminike na uonekane ni KWELI lazima usemwe na mtu aliyezoea kusema UKWELI.
Sitafundisha kila kitu.
Haya!