Kama Hawa alivyompoteza Adam ndivyo mama zetu wanavyotufanya tuwe masikini na watumwa wa watu wengine

Kama Hawa alivyompoteza Adam ndivyo mama zetu wanavyotufanya tuwe masikini na watumwa wa watu wengine

never Se me

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Posts
702
Reaction score
1,009
Kuna Siri kubwa kwenye umbaji Na uzao wa mwanamme Na mwanamke .
ebu fikiri pale mti wa matunda utapo mea kwenye kipande cha udongo chenye chumvi , ukosefu wa mbolea maji Na Kila Aina ya takataka je mti utatoa matunda ? Ata ukitoa matunda Basi yatakuwa mabovu ata kuwa Na uchachu badala ya utamu .

Fikiri APA kipande cha udongo ni mwanaume Na mti wa matunda ni mwanamke

Utaona kwa mfano huo mtoto ladhima atoke Na dosali kama tunda

Je ni Nani alichafua udongo ? Apa ndo kwenye oja yenyewe

Nani alitupa takataka zilizo sababisha udongo ukawa Na chumvi kisha kupelekea ukosefu wa mbolea jibu ni MWANAMKE je kivipi

tendo la ndoa linapo fanyika Na akapatikana mtoto asa wa kiume Basi ni wa upande kulia ambao ni upande wa baba (mshana jr apa utajazia)
Wanawake wame kuwa ni watu wakulisha uchafu Na malimbwata ya Kila namna na madawa ya kienyeji na uchawi waumezao ili tu wapendwe au kukosoa umbaji unaotaka mwanaume kuwa mtawala na kiongozi wa familia.sasa apa utaona jinsi MWANAMKE anavyo tupa Kila Aina ya takataka kwenye kipande cha udongo.

mfano .kunabahazi ya vijana wanakuwa ni watu wakuendeshwa na wake zao kwa Kila namna .apa utaona watu wakisema jamaa kapikwa .uenda ajapikwa Ila tu Aki yake yakuwa kiongozi kapokwa na mama yake mzazi.kivipi

Wanamke anapo mpika mumewe Basi ana mpika yeye na uzao wake .ivo Basi kama baba yako alikuwa zuzu kwa mama yako Basi ata ww utakuwa zuzu kwa mkeo

Mfano wa 2.

Kuna mke Ali mpika mumewe .Ali mtengeneza ampende yeye tu. Kweli Ali mpenda lakini mume akulidhika kuwa na mkewe pekee akawa anachovya nje. Mkewe alivyo gundua akampika tena mumewe asikubaliwe tena na Wanawake wengine Wala jongoo wa mumewe asi simame kwa mwanamke mwingine.basi ikawa ivo mumewe alivyo gundua akamfukuza mkewe kwenye nyumba walio jenga wote. Basi mwanamke aka mchawia tena mumewe asiweze tena kupata pesa kisa ka mfukuza . BASI NA KWAMBIA YANAYO MKUTA UYU BABA YANA WAKUTA WATOTO WAKE. Chanzo ni Nani Mwanamke.

Unatimia lile andiko linalo wataka mwanaume waishi kwa akili na Mwanamke

Mambo unayo pitia kija wakiume ni mambo aliyopitia Mzee wako kwa namna Moja au nyingine. Ni mama zetu Ila wanatufanya tuwe wajinga na watumwa wa watu wengine


Nina makosa mengi ya uandishi .jikite kwenye mada. Karibu
 
Ukweli huo...%kubwa ya matatizo ya wanaume chanzo ni mwanamke vifo umaskini msongo..sema mwanaume pia hawezi ishi bila mwanamke
 
Back
Top Bottom