Kama hawa ndiyo walikuwa hivi miaka yote, kwa Simba, Yanga na TFF nini kifanyike kapata wa ukweli?

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
5,383
Reaction score
4,323
Tanzania inanipa shida kuielewa hasa unapokutana na viongozi maofisini kwa sura zao ni wapole,wakarimu,waungwana,wacheshi na maneno na ahadi za asali.

Kwa kinachoendelea Sasa kwa viongozi wetu nachanganyikiwa na ukweli wenyewe!!

Huwezi amini ukiwa unasikiliza redio au kuangalia TV kuhusu wao.

Nini kifanyike haya yasitokee,ni udhaifu wa Katiba zetu au ujinga wetu,au ni upambe tu usiokuwa na mtazamo wa kina au ni njaa zetu??
 
?????? [emoji30][emoji30][emoji30][emoji30] nimetoka kapa .... mtanielewesha mtakaoelewa huu uzi
 
duh! mpk 2020 watu tutakuwa tumechanganyikiwa kabisa
 
nani asiejua uhalisia wa uongozi wa kitanzania?ukiona mtu anatafuta madaraka kwa gharama yoyote ile ujue hawezi kuwa kiongozi bora ni mfanyabiashara huyo!
 
Mkuu sasa tutapata viongozi wazuri wapi na wakati unajua kila kiongozi lazima ajinufaishe kidogo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…