Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
usilete mikosi yako hapa [emoji19] [emoji19] [emoji19][emoji15]
Huko kushika mikono juu vipi??[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Zilipendwa hizo...Sasa hivi wewe ni EX tulia..niache nijilie raha zangu kwa KhantweNa mm ndio mkewe
AiseeAhahhaha sio mazuri ndio mana yamenichekesha
Au kanifananishaAhahhahah
Ujue najiuliza kafikiliaje yaan kukuweka nae
SafiMambo vipi mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]usilete mikosi yako hapa [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Una watano na mie Wa sita na huyu unamtaka loh!Huko kushika mikono juu vipi??
What..??[emoji15] [emoji15] Joseverest kuja hapa ujibu hiliLabda uwe Wa tatu maana Wa pili pia yupo
Habari yangu poa sana tu mkuuSafi
Habari yako
Au ni mtu mmoja mwenye ID mbili.Haya mambo ya ID fake. Ufakuja kuunganisha IDs kumbe wote jinsia moja
Nashkuru sana mkuu ubarikiwe sana kwahiyo id yako imepigwa banSisi huwa ni watazamaji tu was michango yenu
Umepotea au tunapishana tu humuZa mimi poa sana tu dada yake mie
Kweliii unafkili nakutaniaOhhhhhhhh shunie
AsanteHabari yangu poa sana tu mkuu
Babe usimsikilize huyo....alikuwaga Ex wangu akajaga kutoka na Daby... ana stress za usingo MazaWhat..??[emoji15] [emoji15] Joseverest kuja hapa ujibu hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nahisi ujue hivi kafikilia nini we mleta mada jaman mbona mchochezi hivi kwa dada anguAu kanifananisha
Ndio kwani hela za matunzo unatoa wewe au mimi?? Halafu kama umeona ndio sifa hiyo okay...utapata unachokitafuta.... Yaani unataka Khantwe wangu anione mimi mhuni ?? Tafadhali Single mother wewe usiniharibie penzi langu jipya....sawa eeUna watano na mie Wa sita na huyu unamtaka loh!
Mimi siyo mchangiaji Sana'a ila na mwaka was NNE humuKweliii unafkili nakutania